Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Maandamano makubwa yamefanyika huko Amsterdam, Uholanzi kwa ajili ya kuonyesha mshikamano kwa watu madhulumu wa Palestina na Lebanon.
28 Novemba 2024 - 18:15
Msimbo wa Habari: 1509142